Posts

Picha 14 za Zari Hassan na Akothee zinazothibitisha ni nani malkia wa 'uslay-queen' (picha)

published on
- Soshoaiti Mganda Zari Hassan daima amefahamika kwa mtindo wake murwa wa fashoni na mkusanyiko wa mavazi wa kuibua wivu - Mwimbaji Mkenya Akothee vilevile ni mashuhuri kwa kuwa kila mara yeye huvalia mavazi ya fashoni za hali ya juu - Iwapo warembo hao wawili wangekabiliana ana kwa ana ni nani unafikiri angeibuka kama malkia anayejua fashoni zaidi? Mwimbaji mwenye umbo nzuri Akothee daima amesifiwa kwa urembo wake asilia wa Kiafrika na ngozi nyororo nyeusi ambayo inaweza ikatuliza dhoruba kirahisi. Read More...

Rais Uhuru Abatilisha Uteuzi wa Kembi Gitura Kwenye Bodi ya KEMSA

published on
Rais Uhuru Kenyatta Alhamisi Aprili 29 alibatilisha uteuzi wa Kembi Gitura kama mwenyekiti wa bodi ya shirika la usabazaji wa madawa nchini KEMSA. Mary Chao Mwadime ndiye ameteuliwa kuchukua usukani wa shirika hilo kuanzia Aprili 30 kwa kipindi cha miaka mitatu. Kembi alifutwa kupitia tangazo rasmi la serikali lililotolewa Aprili 28 kuhusu mageuzi ya uongoziwa KEMSA ambayo imekuwa ikikumbwa na sakata nzito. "Mimi Uhuru Kenyatta namteua Mary Chao Mwadime kama mwenyekiti wa bodi ya shirika la usambazaji wa madawa humu nchini kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia Aprili 30, 2021. Read More...

Read All The Latest News About Abdulmalik Tanko On Naija News

published on
Gist3 years ago More Revelations Emerge About Hanifa’s Killer, Abdulmalik Tanko A new report has emerged about the killer of five-year-old, Hanifa Abubakar, Abdulmalik Tanko, the proprietor of Noble Kids Academy Nursery and Primary School, Kwanar Dakata... ncG1vNJzZmivp6x7r63Io5innaeoe6S7zGirqKiZmHyirsOuo6aZnJ64bsDAp6KoZw%3D%3D