blog

Gavana Alfred Mutua aitembelea familia maskini kaunti ya Nyeri

published on
- Gavana wa Machakos Alfred Mutua ameahidi kumsaidia mzee mmoja kutoka kaunti ya Nyeri na familia yake ambao wanaishi maisha ya ufukara - Mutua alimtembelea mzee Muchoki alipokuwa katika ziara zake kaunti hiyo - Mzee Muchoki yuko na tatizo la kutoona na anaishi kwenye nyumba iliyojengwa kwa mbao pamoja na mke wake -Aidha, Mutua aliahidi kugharamia matibabu kwa macho ya Muchoki ambapo atasafirishwa jiji Nairobi Gavana wa Machakos Alfred Mutua alimtembelea mzee ChristoPher Maina Muchoki na mkewe Ann Gathigia Jumamosi Aprili 8 katika kijiji cha Irui eneo bunge la Mathira. Read More...

Govt says there's no plan to shut down Radio Kwara

published on
The Senior Special Assistant to the Governor on Media and Communications, Dr. Muideen Akorede told The Herald that contrary to the fake news being peddled on social media, the government is actually planning to upgrade Radio Kwara and Midland FM. He also assured that there is no truth whatsoever in the second leg of the said piece which alleged that the government was planning to sell the land on which the Radio Kwara transmitters are located. Read More...

Hatari ya kuambukizwa COVID-19 Tanzania ipo juu, yasema Marekani

published on
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umewataka raia wake wanaoishi nchini humo kuchukua tahadhari zinazohitajika ili kuzuia maambukizi zaidi ya virusi vya corona Kupitia kwa barua pepe kutoka kwa ubalozi huo, raia hao wamewatakiwa kufuata masharti yote ya COVID- 19. Habari Nyingine: Rais Museveni adokezea kuwa huenda uchaguzi mkuu 2021 ukaahirishwa "Hatari ya kupata maambukizi ya virusi vya COVID-19 jijini Dar es Salaam ni kubwa sana. Licha ya kwamba taarifa hazitolewi mara kwa mara," Read More...