- Maafisa wa EACC wameanzisha msako mkali kuwatafuta polisi waliookolewa na wenzao baada ya kunaswa na maafisa wa EACC
- Polisi wenzao walifyatua risasi angani kuwashtua makachero wa EACC baada ya makachero hao kuwafumania wakiazimia kuchukua hongo ya KSh 1 milioni
- 2 hao walitoroka wakiwa na pingu mikononi
Hali ya sarakasi ilishuhudiwa katika Kituo cha Polisi cha Kabete wakati maafisa wa Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Jinai (DCI), walipoamua kumnasua mwenzao aliyekuwa amenaswa na makachero wa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) akiazimia kupokea hingo. Read More...
The Islamic Movement in Nigeria (IMN), popularly known as Shiites, has called on the Inspector-General of Police (IGP), Mohammed Adamu, to investigate the burning of a police operational vehicle in Kaduna.
Recall that members of IMN and policemen were invloved ina bloody clash on Saturday.
The Islmaic group had claimed that a combined team of armed police and thugs killed three of its members in Kaduna State.
In a petition written to the IGP and signed by President of the Movement’s Media Forum, Ibrahim Musa, charged Adamu to unravel the circumstances leading to the setting on fire of a Kaduna police command vehicle. Read More...