blog

Judas - Top 10 Redheads

published on
Obviously, we'll never know if Judas Iscariot, the Apostle who famously betrayed Jesus Christ in the Bible for 30 pieces of silver, was actually a redhead. But he is often portrayed in medieval paintings as having flaming hair and an equally crimson beard. The phrase "Judas color" was used to refer to red hair, and no less a personage than William Shakespeare made reference to it, in As You Like It. Read More...

Mchekeshaji maarufu katika filamu za Kiluhya Mercy Nyukuri aangamia katika ajali

published on
- Mercy Nyukuri alifariki usiku wa Jumatano, Februari 6 -Aligongwa na gari lililokuwa linakimbia kwa kasi wakati alikuwa akivuka barabara - Mwili wake ulipelekwa katika Hospitali ya Life Care - Nyukuri alikuwa anatambuliwa kwa uigizaji wake katika kipindi cha Kibukusu cha Choffuri Malkia wa nyanja ya usheshi katika jamii ya Waluhya Mercy Justine Nyukuri ameaga dunia. Mvunja mbavu huyo alithibitishwa kufariki na mtayarishi wa kipindi cha Choffuri, Tinny Black, ambaye alisema mwili wake uko katika Hospitali ya Life Care. Read More...